SIMULIZI. MAPENZI YA SHULE, SEHEMY YA KWANZA.. - GMK NEWS

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, May 20

SIMULIZI. MAPENZI YA SHULE, SEHEMY YA KWANZA..


Mapenzi ya shule .......sehemu ya kwanza.

''James ni kijana ambae alipata nafasi ya kupata elimu ya sekondari ya nyateo iliyopo mkoani simiyu alianza hapo kidato cha kwanza mwaka 2004 mpaka 2007 akiwa kidato cha kwanza alikua kijana mtaratibu sana na pia mwelevu darasani na kuwa wa kwanza darasani ilikua kawaida kwake.

Maisha yaliendelea shuleni pale mwaka mzima mpaka wamemaliza kidato cha 1 na kuingia kidato cha pili wakiwa mambo yakabadilika akanza kutamani wasichana kwa sababu shule yao ilikua ya mchanganyiko yani wasichana na wavulana.

Siku moja wakati wanasoma darasani usiku ( preparation time)  akiwa darasani kuna binti mmoja alimfata aliyekua ameamia shuleni hapo aliyekua anaitwa Jane na alikua na shida ya kusaidiwa swali na James ,James alimsaidia swali na baadae Jane aliondoka zake na James alipomaliza kusoma aliondoka na kwenda bwenini kwao na wasichana pia waliondoka kwenda bwenini.

Wasichana walipofika bwenini walianza kumtukana Jane kwa kukaa na James hapo kuna mabinti kama neema Beatrice ndo walimtukana sana neema alisema '''wewe umekuja Jana tu unataka ubebe wame za watu hapa ndo nyateo utakubali we jitie uelewiii '''''hapo Jane alikaa kimya kwa sababu hakuna na support yoyote na baada ya kelele kiongozi wa bweni aliamuru wote  walale na walikaa kimya na siku  hiyo ilipita.

Kesho yake  James alikua amekaa nje wakati wa mapumziko alimwona Jane kwa mbali akija pale alipokua amekaa na alijua moja kwa moja analetewa maswali na Jane ,Jane alipofika alikua na huzuni sana na ''james nimetukanwa sana Jana usiku kwa ajili yako me Jana kuleta swali ndio chanzo natukanwa naambiwa ninaiba Mme wa mtu'''' James akamjibu Mimi sina mpenzi hapa shule nasiamini maneno yako au unataka unipime tu?

Jane alimjibu ''hapana tena  aliyenitukana  zaidi  ni neema''john akadakia palepale ''neema anakutukana akidai Mimi natoka nae? Jane akamjibu ''sina mengi Mimi ila nimepata  picha ya shule yenu ''Jane aliondoka na hapo James aliondoka kwa  hasira akimtafuta neema Mara gafla alimwona rafiki yake aitwae rich ''oya rich Ee namsaka neema umemwona wapi ''rich alimjibu ''yupo jikoni nadhani anakuja sasa hivi'''kama bahati neema na Beatrice aliwaona wanakuja hapo James amekaa hasira .........................Usikose sehemu ya pili

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages