Sehemu ya kwana iliishia pale James anamwona Beatrice na neema wanakuja
Songanayooo....''.we neema usiniletee baraha hapa shule Mimi toka lini natembea na wewe? Neema akamjibu ''amekwambia nani Mimi nimesema natoka na wewe?
James akamkazia macho kwa hasira "usilete ujinga wewe neema nijibu wewe unatoka na Mimi? Neema akamjibu " hapa''kwanini sasa unajiongelesha na kibaya zaidi unamtukana mtoto wa watu et me natoka nae kwani ata nikitokanae wewe inakuhusu vipi sina mengi ila umeniboa sana''
Hapo neema na Beatrice wapo kimya Mara kengele ikagongwa wakarudi darasani humo darasani minogono aikatiki wanamsema tu Jane Mara neema aongee amnyoshea kidole.
Siku hiyo James alikua na Mawazo sana kwa sababu hakuwa na mahusiano na binti yoyote zaidi ya kuwatamani tu siku hiyo ikapita bwenini Jane akawa anatengwa na wenyeji kisa tu kuzoeana na james ila alipata rafiki mmoja ambaye aliitwa Eliza alimfariji Jane kwa yaliyokuwa yanamthibu
Siku moja James akiwa anasoma darasani alimwona Jane anapita kwa nje alimwita dirishani na kuanza kuongea nae ''mbona ulete maswali au unasikiliza maneno ya watu ''Jane kwa unyonge akamjibu ''hapana ila nakuona upo busy sana James akamwambia 'usiwaze achana na akina neema kama wewe unashida na mimi kuwa huru tu' Jane alimjibu ''usijali James ''na aliondoka na James akaendelea kusoma usiku kulikua na debate na Eliza alikaa na Jane baadae aliingia James bwaloni akiangalia niwapi akae.
Mara rich alianza kumuita ili wakae wote na muda huohuo Eliza nae anamuita ila kama unavyojua wanawake wananguvu alienda kukaa na akina elizabna rich aliwafata pale pale nyuma yako alikuepo Beatrice na neema wamekaa na James akutambua hilo James alikaa karibu na Jane na rich karibu na Eliza kitendo cha kukaa wote kiliwauzi akina Neema pamoja na Beatrice na Neema akupoteza muda alimfata headboy na kumwomba ruhusa akalale kwa sababu anaumwa................ Fatilia sehemu ya 3 ujue nikwanini neema alimchukia Jane na nini hatima yake
No comments:
Post a Comment