URUSI NA WINGEREZA ZAINGIA KWENYE MGOGORO TENA - GMK NEWS

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Sunday, March 18

demo-image

URUSI NA WINGEREZA ZAINGIA KWENYE MGOGORO TENA

Responsive Ads Here
Urusi imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia 23 wa Uingereza kufuatia hatua ya Uingereza kuihusisha Urusi na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani  Sergei Skripal pamoja na binti yake Yuria. Urusi imetangaza inawapa wiki moja wanadiplomasia hao wa Uingereza kuondoka nchini humo.

Post Bottom Ad

Pages