Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa amesema ipo haja ya kuitishwa mjadala wa kitaifa wa kujadili hali ya elimu nchini kufuatia shule za serikali kuendelea kufanya vibaya katika matokeo ya mitihani ya kitaifa.
Mhe.Mkapa ambaye pia ni mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma amesema hayo mkoani Dodoma wakati wa tukio la kumuingiza kazini makamu mkuu mpya wa chuo kikuu hicho cha Dodoma Profesa Egid Mubofu na kumuaga makamu mkuu wa chuo hicho aliyemaliza muda wake Profesa Idrisa Kikula.
Mhe.Mkapa amesema mjadala huo unatakiwa kuhusisha makundi yote ya jamii bila kujali kama ni ya sekta binafsi ama ya umma sambamba na watu wa kawaida siyo wasomi pekee ambapo kupitia njia hiyo anaamini suluhu ya kudumu itapatikana.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Sunday, March 18
Home
Unlabelled
RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AZUNGUMZIA KUDORORA KWA ELIMU NCHINI
RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AZUNGUMZIA KUDORORA KWA ELIMU NCHINI
Share This
About GMK NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment